Wakala wa Tanzania akimhudumia mteja
Mfumo wa kisasa kwa mawakala wa Tanzania

Huduma Zote za
Kifedha Kiganjani
Mwako

Simamia uwakala, miamala na huduma za kifedha kwa urahisi kupitia Wakala Kiganjani — mfumo wa kisasa uliotengenezwa kwa mawakala wa Tanzania.

Free Trial ya siku 14
Inafanya kazi simu na PC
Msaada wa Kiswahili
Vipengele

Kila Kitu Unachohitaji

Mfumo umejengwa kwa mawakala wa Tanzania. Rahisi, haraka na salama.

Mahesabu ya Kila Siku

Rekodi kuanzia Float, Cash In, Cash Out, Rejesho na Salio la kila siku kwa urahisi.

Miamala & Ripoti

Fuatilia miamala yako yote na tengeneza ripoti za muda wowote kwa kubonyeza moja.

Usimamizi wa Wakala

Wakala Mkuu anaweza kuona na kusimamia mawakala wote chini yake kwa ufanisi.

Grafu & Takwimu

Grafu za michoro zinazoonyesha mwenendo wa biashara yako kwa wiki na miezi.

Usalama wa Hali ya Juu

Data zako zinahifadhiwa kwenye mifumo salama ya cloud na kuwezesha ruhusa za kila mtumiaji.

Inafanya kazi Kila Kifaa

Tumia kwenye simu yako, kompyuta au tablet. Hakuna haja ya ku-download app.

Huduma

Hatua Tatu Tu

Anza kutumia mfumo katika chini ya dakika 5.

1

Jisajili Bure

Fungua akaunti yako bila malipo yoyote. Inachukua dakika chache tu.

2

Anza Kurekodi

Weka mahesabu yako ya kila siku kwa kutumia mfumo wetu rahisi.

3

Sogeza Biashara

Angalia ripoti, grafu na uamue kwa taarifa sahihi za biashara yako.

Bure
Free Trial ya siku 14
Salama
Data hifadhiwa kwenye cloud
Rahisi
Inafanya kazi simu, tablet & PC
Kiswahili
Mfumo wote ni kwa Kiswahili
i

Taarifa muhimu: Ukurasa huu unaendeshwa na mmiliki wa Wakala Kiganjani. Bei za vifurushi vya mfumo zitathibitishwa baada ya kujisajili. Tunatoa Free Trial ya siku 14 ili upate kujaribu mfumo bila malipo.

Matangazo

Matangazo ya Msimamizi

Taarifa rasmi, ofa na matangazo muhimu kutoka kwa msimamizi wa Wakala Kiganjani.

Hakuna matangazo kwa sasa.

Ushuhuda

Mawakala Wanavyosema

"

Tangu nianze kutumia Wakala Kiganjani, mahesabu yangu yamekuwa rahisi sana. Sina haja ya karatasi tena!

J

Juma M.

Wakala — Dar es Salaam

"

Naweza kuona mwenendo wa mawakala wangu wote katika moja. Ni zana nzuri sana kwa usimamizi.

A

Asha K.

Wakala Mkuu — Arusha

"

Ripoti za kila mwezi zimenisaidia kuelewa vizuri biashara yangu. Inafaa sana kwa mawakala.

I

Ibrahim N.

Wakala — Mwanza

Anza Leo

Jiunge na mamia ya mawakala nchini Tanzania wanaotumia Wakala Kiganjani kudumisha mahesabu yao kwa ufanisi.

About

About Wakala Kiganjani

Wakala Kiganjani ni mfumo wa kisasa wa kidigitali ulioandaliwa kwa ajili ya mawakala wa Tanzania kusimamia na kukuza biashara zao kwa ufanisi. Mfumo huu unatoa zana za usimamizi wa miamala, ufuatiliaji wa biashara, ripoti, ufuatiliaji wa utendaji na ufanisi wa kazi kutoka kifaa chochote.

Usimamizi wa Miamala

Rekodi na fuatilia kila muamala kwa usahihi.

Ufuatiliaji wa Biashara

Ona mwenendo wa kila siku popote ulipo.

Ripoti za Kitaalamu

Ripoti za kila siku, wiki na mwezi kiotomatiki.

Ufanisi wa Kazi

Punguza muda na ongeza tija ya biashara yako.

Process

How It Works

Hatua nne rahisi za kuanza kutumia Wakala Kiganjani.

1

Register Account

Fungua akaunti bure ndani ya dakika chache.

2

Login to Dashboard

Ingia kwenye dashibodi yako salama.

3

Manage Transactions

Rekodi na simamia miamala yako kwa urahisi.

4

Track Business Performance Anytime

Fuatilia utendaji wa biashara yako muda wowote.

Pricing

Packages & Pricing

Chagua kifurushi kinachoendana na mahitaji ya biashara yako.

Vifurushi vya Wakala

Habilo

1 Mwezi

TZS 3,000
  • Muda wa miezi 1
  • Usimamizi wa miamala yote
  • Ripoti za kila siku
  • Usaidizi wa kiufundi
Jiunge Sasa

Silver

3 Miezi

TZS 7,000
  • Muda wa miezi 3
  • Usimamizi wa miamala yote
  • Ripoti za kila siku
  • Usaidizi wa kiufundi
Jiunge Sasa
Popular

Gold

6 Miezi

TZS 15,000
  • Muda wa miezi 6
  • Usimamizi wa miamala yote
  • Ripoti za kila siku
  • Usaidizi wa kiufundi
Jiunge Sasa

Tanzanite

12 Miezi

TZS 30,000
  • Muda wa miezi 12
  • Usimamizi wa miamala yote
  • Ripoti za kila siku
  • Usaidizi wa kiufundi
Jiunge Sasa

Vifurushi vya Wakala Mkuu

Habilo

1 Mwezi

TZS 5,000
  • Taarifa zako zitaonekana mwezi mzima kwa mawakala wote
  • Usaidizi wa masaa yote ya kazi
  • Uhakiki wa mapema
Jiunge Sasa
Popular

Habilo Pro

1 Mwezi

TZS 10,000
  • Tangazo la biashara yako litaonekana kwenye bar ya notification ya app
  • Uhakiki wa haraka mapema
  • Usaidizi mapema zaidi
  • Utaonekana juu kabisa mawakala wakiingia wilayani kwako
Jiunge Sasa

Habilo Premium

6 Miezi

TZS 55,000
  • Miezi sita
  • Huduma zote za Habilo Pro kwa muda wote wa package yako
Jiunge Sasa
Contact

Contact Us

Tupo tayari kukusaidia. Wasiliana nasi muda wowote.